Sanidi aina za programu/viendelezi zinazoruhusiwa

Hudhibiti aina za programu/viendelezi vinavyoruhusiwa kusakinishwa na huweka vikwazo vya ufikiaji wa programu inapotumika.

Mipanglio huidhinisha aina zinazoruhusiwa za viendelezi/programu zinazoweza kusakinishwa katika Google Chrome na seva pangishi ambazo zinaweza kuwasiliana nazo. Thamani ni orodha ya mifuatano ambayo kila moja inapaswa kuwa mojawapo ya ifuatayo: "extension", "theme", "user_script", "hosted_app", "legacy_packaged_app", "platform_app". Angalia hati za viendelezi vya Google Chrome upate maelezo zaidi kuhusu aina hizi.

Kumbuka kuwa sera pia hii huathiri viendelezi na programu zitakazolazimishwa kusakinishwa kupitia ExtensionInstallForcelist.

Ikiwa mipangilio hii imewekwa, viendelezi/programu ambazo zina aina isiyo kwenye orodha hazitasakinishwa.

Ikiwa mipangilio hii itaachwa bila kuwekwa, hakuna vikwazo vya aina za viendelezi/programu zinazokubalika zitatekelezwa.

Supported on: SUPPORTED_WIN7

Aina za viendelezi/programu zinazoruhusiwa kusakinishwa

Registry HiveHKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\ChromeOS\ExtensionAllowedTypes
Value Name{number}
Value TypeREG_SZ
Default Value

chromeos.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)