Mpangilio chaguo-msingi wa eneo la kijiografia

Inaruhusu iwapo tovuti zinaruhusiwa kufuatilia eneo halisi la mtumiaji. Kufuatilia eneo halisi la mtumiaji kunaweza kuruhusiwa kwa chaguo-msingi, kukataliwa kwa chaguo-msingi au mtumiaji anaweza kuulizwa kila wakati tovuti ambayo inaomba eneo halisi.

Ikiwa sera hii itasalia kama haijawekwa, 'AskGeolocation' itatumika na mtumiaji ataweza kuibadilisha.

Supported on: SUPPORTED_WIN7

Mpangilio chaguo-msingi wa eneo la kijiografia


  1. Ruhusu tovuti kufuatilia eneo halisi la mtumiaji
    Registry HiveHKEY_CURRENT_USER
    Registry PathSoftware\Policies\Google\ChromeOS
    Value NameDefaultGeolocationSetting
    Value TypeREG_DWORD
    Value1
  2. Hairuhusu tovuti yoyote kufuatilia eneo halisi la mtumiaji
    Registry HiveHKEY_CURRENT_USER
    Registry PathSoftware\Policies\Google\ChromeOS
    Value NameDefaultGeolocationSetting
    Value TypeREG_DWORD
    Value2
  3. Uliza kila wakati tovuti inataka kufuatilia eneo halisi la mtumiaji
    Registry HiveHKEY_CURRENT_USER
    Registry PathSoftware\Policies\Google\ChromeOS
    Value NameDefaultGeolocationSetting
    Value TypeREG_DWORD
    Value3


chromeos.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)