Inawezesha kipengele cha Mjazo Otomatiki cha Google Chrome na huruhusu watumiaji kukamilisha wavuti kiotomatiki kwa kutumia maelezo ya awali yaliyohifadhiwa kama anwani au maelezo ya kadi ya mkopo.
Ukiuzima mpangilio huu, Mjazo Otomatiki hautafikiwa na watumiaji.
Ukiuwasha mpangilio huu au usipoweka thamani, Mjazo Otomatiki utasalia chini ya udhibiti wa mtumiaji. Hii itawaruhusu kuweka maelezo mafupi ya Mjazo Otomatiki na kuwasha au kuzima Mjazo Otomatiki wapendavyo.
Registry Hive | HKEY_CURRENT_USER |
Registry Path | Software\Policies\Google\ChromeOS\Recommended |
Value Name | AutoFillEnabled |
Value Type | REG_DWORD |
Enabled Value | 1 |
Disabled Value | 0 |