Hukuruhusu kubainisha orodha ya ruwaza za url zinazobainisha tovuti ambazo Google Chrome inapaswa kuchagua cheti cha seva teja kiotomatiki, tovuti ikiomba cheti.
Lazima thamani iwe orodha ya kamusi za JSON zenye mfuatano. Lazima kila kamusi iwe na muundo wa { "pattern": "$URL_PATTERN", "filter" : $FILTER }, ambapo $URL_PATTERN ni ruwaza ya mipangilio ya maudhui. $FILTER huweka vikwazo vya ni vyeti vipi vya seva teja ambavyo kivinjari kitateua kiotomatiki kutoka kwavyo. Kwa kutotegemea kichujio, vyeti pekee ndivyo vitakavyochaguliwa vinavyolingana na ombi la cheti cha seva. Ikiwa $FILTER ina muundo wa { "ISSUER": { "CN": "$ISSUER_CN" } }, zaidi ya hayo vyeti vya seva teja tu ndivyo vinavyochaguliwa vinavyotolewa na cheti chenye CommonName $ISSUER_CN. Ikiwa $FILTER ni kamusi tupu {}, uchaguzi wa vyeti vya seva teja hauwekewi vikwazo.
Sera hii ikiachwa bila kuwekwa, hakuna uchaguzi wa kiotomatiki utakaofanywa kwa tovuti yoyote.
Registry Hive | HKEY_CURRENT_USER |
Registry Path | Software\Policies\Google\ChromeOS\AutoSelectCertificateForUrls |
Value Name | {number} |
Value Type | REG_SZ |
Default Value |