Lazimisha Kiwango cha chini cha Hali yenye Mipaka kwenye YouTube
Hutekeleza kiwango cha chini cha Hali yenye Mipaka kwenye YouTube na huwazuia watumiaji
kuchagua hali ambayo haijawekewa mipaka mingi.
Mipangilio hii ikiwekwa kuwa ya Lazima, Hali yenye Mipaka ya Lazima kwenye YouTube
inafanya kazi kila wakati.
Mipangilio hii ikiwekwa kuwa ya Wastani, mtumiaji anaweza kuchagua Hali yenye Mipaka ya Wastani pekee na Hali yenye Mipaka ya Lazima kwenye YouTube,
lakini hawezi kuzima Hali yenye Mipaka.
Mipangilio hii ikiwekwa kuwa Imezimwa au hakuna thamani iliyowekwa, Hali yenye Mipaka kwenye YouTube haitatekelezwa na Google Chrome. Sera za nje kama vile sera za YouTube bado zinaweza kutekeleza Hali yenye Mipaka.
Supported on: SUPPORTED_WIN7
chromeos.admx