Weka aina ya kikuza skrini cha msingi kama kimewashwa kwenye skrini ya kuingia katika skrini
Weka aina chaguo-msingi ya kikuza skrini ambacho kimewashwa kwenye skrini ya kuingia katika akaunti.
Kama sera hii itawekwa, itadhibiti aina ya kikuza skrini ambacho kimewashwa wakati skrini ya kuingia katika akaunti itakapoonyeshwa. Kuweka sera kuwa "Hakuna" huzima kikuza skrini.
Kama umeweka sera hii, watumiaji wanaweza kuipuuza kwa muda kwa kuwasha au kuzima kikuza skrini. Hata hivyo, chaguo la mtumiaji haliendelei na chaguo msingi hurejeshwa tena wakati skrini ya kuingia katika akaunti inapoonyeshwa upya au mtumiaji anapobakia bila kufanya kitu kwenye skrini ya kuingia katika akaunti kwa dakika moja.
Kama sera haitawekwa, kikuza skrini kitazimwa wakati skrini ya kuingia katika akaunti itakapoonyeshwa kwanza. Watumiaji wanaweza kuwasha au kuzima kikuza skrini wakati wowote na hali yake kwenye skrini ya kuingia katika akaunti inaendelea kati ya watumiaji.
Supported on: SUPPORTED_WIN7
chromeos.admx