Ikiwa haijawekwa au imewekwa kuwa Ndivyo, masasisho ya vipengele vyote katika Google Chrome huwashwa.
Ikiwekwa kuwa Sivyo, masasisho ya vipengele yatazimwa. Hata hivyo, baadhi ya vipengele havizingatii sera hii: masasisho ya kipengele chochote ambacho hakina msimbo wa kutekelezwa, au ambacho hakibadilishi jinsi kivinjari kinavyofanya kazi, au ni muhimu kwa usalama wake hayatazimwa.
Mifano ya vipengele kama hivyo ni orodha za vyeti vilivyobatilishwa na data ya kuvinjari salama.
Angalia https://developers.google.com/safe-browsing kwa maelezo zaidi kuhusu SafeBrowsing.
Registry Hive | HKEY_CURRENT_USER |
Registry Path | Software\Policies\Google\ChromeOS |
Value Name | ComponentUpdatesEnabled |
Value Type | REG_DWORD |
Enabled Value | 1 |
Disabled Value | 0 |