Ruwaza katika orodha hii zitalinganishwa dhidi ya asili ya usalama wa
ombi la URL. Zikilingana, idhini ya kufikia vifaa vya
kunasa sauti itatolewa bila ombi.
KUMBUKA: Kabla ya toleo la 45, sera hii ilitumika katika Skrini nzima pekee.
Registry Hive | HKEY_CURRENT_USER |
Registry Path | Software\Policies\Google\ChromeOS\AudioCaptureAllowedUrls |
Value Name | {number} |
Value Type | REG_SZ |
Default Value |