Udhibiti wa nishati kwenye skrini ya kuingia

Sanidi usimamizi wa nishati kwenye skrini ya kuingia katika akaunti ya Google Chrome OS.

Sera hii hukuruhusu kusanidi jinsi Google Chrome OS hufanya kazi kunapokuwa hakuna shughuli ya mtumiaji kwa muda huku skrini ya kuingia katika akaunti ikiwa inaonyeshwa. Sera hii hudhibiti mipangilio mingi. Kwa vigezo maalum na mfululizo wa thamani, tazama sera zinazolingana ambazo hudhibiti usimamizi wa nishati wakati wa kipindi. Tofauti za pekee zilizoko kwenye sera hizi ni:
* Vitendo vya kuchukua wakati haifanyi kitu au kifuniko kimefunikwa haviwezi kuwa kumaliza kipindi
* Kitendo chaguo-msingi cha kuchukua wakati kifaa hakifanyi kitu kinapoendeshwa kutumia nishati ya AC ni kuzima.

Kama mpangilio usipobainishwa, thamani chaguo-msingi inatumika.

Sera hii ikiondolewa, chaguo-msingi zitatumika kwa mipangilio yote.

Supported on: SUPPORTED_WIN7

Udhibiti wa nishati kwenye skrini ya kuingia

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE
Registry PathSoftware\Policies\Google\ChromeOS
Value NameDeviceLoginScreenPowerManagement
Value TypeREG_MULTI_SZ
Default Value

chromeos.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)