Wezesha ubashiri wa mtandao

Inawezesha ubashiri wa mtandao katika Google Chrome na kuzuia watumiaji kubadilisha mipangilio hii.

Hii hudhibiti kuleta DNS, uunganishaji na uonyeshaji awali wa kurasa za wavuti za TCP na SSL.

Ukiweka mapendeleo haya kuwa 'kila wakati', 'kamwe', au 'WiFi pekee', watumiaji hawawezi kubadilisha au kufuta mipangilio hii katika Google Chrome.

Ikiwa sera hii itaachwa bila kuwekwa, kipengee cha ubashiri wa mtandao kitawashwa lakini mtumiaji ataweza kukibadilisha.

Supported on: SUPPORTED_WIN7

Wezesha ubashiri wa mtandao


 1. Bashiri vitendo vya mtandao kwenye muunganisho wa mtandao wowote
  Registry HiveHKEY_CURRENT_USER
  Registry PathSoftware\Policies\Google\ChromeOS\Recommended
  Value NameNetworkPredictionOptions
  Value TypeREG_DWORD
  Value0
 2. Tabiri vitendo vya mtandao kwenye mtandao wowote ambao si wa simu ya mkononi. (Iliacha kufanya katika 50, ikaondolewa katika 52. Baada ya 52, ikiwa thamani 1 imewekwa, itachukuliwa kama 0 - tabiri vitendo vya mtandao kwenye muunganisho wa mtandao wowote.)
  Registry HiveHKEY_CURRENT_USER
  Registry PathSoftware\Policies\Google\ChromeOS\Recommended
  Value NameNetworkPredictionOptions
  Value TypeREG_DWORD
  Value1
 3. Usibashiri vitendo vya mtandao kwenye muunganisho wa mtandao wowote
  Registry HiveHKEY_CURRENT_USER
  Registry PathSoftware\Policies\Google\ChromeOS\Recommended
  Value NameNetworkPredictionOptions
  Value TypeREG_DWORD
  Value2


chromeos.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)