Weka mzunguko chaguo-msingi wa onyesho, unaotumika kila unapowashwa tena

Sera hii ikiwekwa, kila onyesho litazungushwa hadi
mkao uliobainishwa kila inapowashwa tena, na mara ya kwanza inapounganishwa
baada ya thamani ya sera kubadilika. Watumiaji wanaweza kubadilisha mzunguko
wa onyesho kupitia ukurasa wa mipangilio baada ya kuingia katika akaunti, lakini
mipangilio yake itabatilishwa na thamani za sera itakapowashwa tena.

Sera hii inatumika kwenye maonyesho ya msingi na ya pili yote.

Sera hii isipowekwa, thamani chaguo-msingi ni digrii 0 na mtumiaji yuko huru
kuibadilisha. Kwa hivyo, thamani chaguo msingi haitumiwi tena wakati wa kuzima na kuwasha.

Supported on: SUPPORTED_WIN7

Weka mzunguko chaguo-msingi wa onyesho, unaotumika kila unapowashwa tena


 1. Zungusha skrini kwa digrii 0
  Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE
  Registry PathSoftware\Policies\Google\ChromeOS
  Value NameDisplayRotationDefault
  Value TypeREG_DWORD
  Value0
 2. Zungusha skrini kwa mwendo wa saa kwa digrii 90
  Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE
  Registry PathSoftware\Policies\Google\ChromeOS
  Value NameDisplayRotationDefault
  Value TypeREG_DWORD
  Value1
 3. Zungusha skrini kwa digrii 180
  Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE
  Registry PathSoftware\Policies\Google\ChromeOS
  Value NameDisplayRotationDefault
  Value TypeREG_DWORD
  Value2
 4. Zungusha skrini kwa mwendo wa saa kwa digrii 270
  Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE
  Registry PathSoftware\Policies\Google\ChromeOS
  Value NameDisplayRotationDefault
  Value TypeREG_DWORD
  Value3


chromeos.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)