Ruhusu picha katika tovuti hizi

Inakuruhusu kuweka orodha ya ruwaza za url zinazobainisha tovuti zinazoruhusiwa kuonyesha picha.

Ikiwa sera hii itaachwa bila thamani chaguo-msingi yote itatumiwa kwa tovuti zote kutoka kwenye sera ya 'DefaultImageSetting' ikiwa imewekwa, au vinginevyo usanidi binafsi wa mtumiaji.

Supported on: SUPPORTED_WIN7

Ruhusu picha katika tovuti hizi

Registry HiveHKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\ChromeOS\ImagesAllowedForUrls
Value Name{number}
Value TypeREG_SZ
Default Value

chromeos.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)