Saa za eneo:

Hubainisha saa za eneo zitakazotumiwa kwa kifaa. Watumiaji wanaweza kufuta saa za eneo kwa kipindi cha sasa. Hata hivyo, baada ya kuondoka kwenye akaunti, itarudishwa kwenye saa za eneo lililobainishwa. Ikiwa thamani isiyo sahihi itatolewa, bado sera itawezeshwa kwa kutumia "GMT". Ikiwa mfuatano mtupu utatolewa, sera hii itapuuzwa.

Sera hii isipotumiwa, saa za sasa za eneo zinazotumika zitaendelea kutumiwa ingawa watumiaji wanaweza kubadilisha saa za eneo na mabadiliko haya yatadumu. Kwa hivyo, mabadiliko yanayofanywa na mtumiaji mmoja yataathiri skrini ya kuingia katika akaunti na watumiaji wengine wote.

Vifaa vipya huanza huku saa za eneo zikiwa katika hali ya "US/Pacific".

Muundo wa thamani hufuata majina ya saa za eneo katika "Hifadhidata ya Saa za Eneo za IANA" (tembelea "https://en.wikipedia.org/wiki/Tz_database"). Hususan, saa nyingi za eneo zinaweza kurejelewa kulingana na "bara/jiji_kuu" au "bahari/jiji_kuu".

Kuweka mipangilio hii kutazima kabisa kipengee cha kutatua saa za eneo kiotomatiki kulingana na eneo la kifaa. Pia kutabatilisha sera ya SystemTimezoneAutomaticDetection.

Supported on: SUPPORTED_WIN7

Saa za eneo:

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE
Registry PathSoftware\Policies\Google\ChromeOS
Value NameSystemTimezone
Value TypeREG_SZ
Default Value

chromeos.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)