Sera hii ikiwekwa kuwa ndivyo, Eneo-kazi Lililounganishwa linaruhusiwa na
kuwashwa kwa chaguo-msingi, ambapo inaruhusu programu kuonyeshwa katika skrini nyingi kama kwamba ni moja.
Mtumiaji anaweza kuzima Eneo-kazi Lililounganishwa kwa maonyesho maalum kwa kuondoa alama
katika mipangilio ya onyesho.
Sera hii ikiwekwa kuwa sivyo au kutowekwa, Eneo-kazi Lililounganishwa
litazimwa. Katika hali hii, mtumiaji hawezi kukiwasha kipengele.
Registry Hive | HKEY_CURRENT_USER |
Registry Path | Software\Policies\Google\ChromeOS |
Value Name | UnifiedDesktopEnabledByDefault |
Value Type | REG_DWORD |
Enabled Value | 1 |
Disabled Value | 0 |