Huwasha kipengele cha Kuvinjari Salama cha Google Chrome na kuwazuia watumiaji kubadilisha mipangilio hii.
Ukiiwasha mipangilio hii, Kuvinjari Salama kunatumika wakati wote.
Ukiizima mipangilio hii, Kuvinjari Salama hakutatumika kamwe.
Ukiiwasha au kuizima mipangilio hii, watumiaji hawataweza kuibadilisha wala kuibatilisha mipangilio ya "Washa ulinzi wa kuhadaa ili kupata maelezo ya kibinafsi na programu hasidi" katika Google Chrome.
Usipoiweka sera hii, itawashwa lakini mtumiaji ataweza kuibadilisha.
Angalia https://developers.google.com/safe-browsing kwa maelezo zaidi kuhusu SafeBrowsing.
Registry Hive | HKEY_CURRENT_USER |
Registry Path | Software\Policies\Google\ChromeOS\Recommended |
Value Name | SafeBrowsingEnabled |
Value Type | REG_DWORD |
Enabled Value | 1 |
Disabled Value | 0 |