Hubadilisha tabia chaguo-msingi ya vitufe vya safumlalo ya juu kwenda vitufe vya kukokotoa.
Sera hii ikiwekwa kuwa ndivyo, vitufe vya safumlalo ya juu ya kibodi vitatoa amri za vitufe vya kukokotoa kwa chaguo-msingi. Kitufe cha kutafuta lazima kibonyezwe ili kurejesha tabia yake kuwa vitufe vya media.
Sera hii ikiwekwa kuwa sivyo au isiwekwe, kibodi itatoa amri za vitufe vya media kwa chaguo-msingi na amri za vitufe vya kukokotoa wakati kitufe cha kutafuta kimeshikiliwa.
Registry Hive | HKEY_CURRENT_USER |
Registry Path | Software\Policies\Google\ChromeOS |
Value Name | KeyboardDefaultToFunctionKeys |
Value Type | REG_DWORD |
Enabled Value | 1 |
Disabled Value | 0 |