Iwe vyeti vya sahihi ya SHA-1 vilivyotolewa na nanga za ndani zinazoaminika vinaruhusiwa

Mipangilio hii ikiwashwa, Google Chrome huruhusu vyeti vya sahihi ya SHA-1 muradi tu vinathibitisha kikamilifu na kuunganisha kwenye vyeti vya CA vilivyosakinishwa ndani.

Kumbuka kwamba sera hii inategemea bunda la kuthibitisha cheti cha mfumo wa uendeshaji kuruhusu sahihi za SHA-1. Ikiwa sasisho la Mfumo wa Uendeshaji litabadilisha Mfumo wa Uendeshaji unaoshughulikia vyeti vya SHA-1, sera hii haitakuwa na athari tena. Aidha, sera hii inanuiwa kutumiwa kama njia ya muda ya kuzipa biashara muda zaidi wa kuhama SHA-1. Sera hii itaondolewa mnamo au kufikia tarehe 1 Januari 2019.

Sera hii isipowekwa au ikiwekwa kuwa sivyo, basi Google Chrome itafuata ratiba iliyotangazwa hadharani ya SHA-1 kuacha kuendesha huduma.

Supported on: SUPPORTED_WIN7

Registry HiveHKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\ChromeOS
Value NameEnableSha1ForLocalAnchors
Value TypeREG_DWORD
Enabled Value1
Disabled Value0

chromeos.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)