Toleo la juu zaidi la SSL limewashwa

Onyo: Sera ya kiwango cha juu cha toleo la TLS itaondolewa kabisa kwenye Google Chrome takriban baada ya toleo la 66 (katika mwezi Februari 2018 hivi).

Ikiwa sera hii haijawekwa, basi Google Chrome itatumia toleo la kiwango cha juu chaguo-msingi ambacho ni TLSv1.3.

La sivyo, huenda ikawekwa kwenye mojawapo ya thamani zifuatazo: "tls1.2" au "tls1.3". Ikiwekwa, Google Chrome haitatumia matoleo ya SSL/TLS ambayo ni makubwa zaidi ya toleo lililobainishwa. Thamani isiyotambuliwa itapuuzwa.

Supported on: SUPPORTED_WIN7

Toleo la juu zaidi la SSL limewashwa


  1. TLS 1.2
    Registry HiveHKEY_CURRENT_USER
    Registry PathSoftware\Policies\Google\ChromeOS
    Value NameSSLVersionMax
    Value TypeREG_SZ
    Valuetls1.2
  2. TLS 1.3
    Registry HiveHKEY_CURRENT_USER
    Registry PathSoftware\Policies\Google\ChromeOS
    Value NameSSLVersionMax
    Value TypeREG_SZ
    Valuetls1.3


chromeos.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)