Tumia saa ya saa 24 kwa chaguo-msingi

Hubainisha muundo wa saa ili kutumiwa kwa kifaa.

Sera hii husanidi muundo wa saa ili kutumia kwenye skrini ya kuingia katika akaunti na kama chaguo-msingi kwa vipindi vya watumiaji. Bado watumiaji wanaweza kuubatilisha muundo wa saa kwa akaunti yao.

Ikiwa sera itawekwa kuwa kweli, kifaa kitatumia muundo wa saa ya saa 24. Ikiwa sera hii itawekwa kuwa uongo, kifaa kitatumia muundo wa saa ya saa 12.

Ikiwa sera hii haitawekwa, kifaa kitapuuza kuwa muundo wa saa ya saa 24.

Supported on: SUPPORTED_WIN7

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE
Registry PathSoftware\Policies\Google\ChromeOS
Value NameSystemUse24HourClock
Value TypeREG_DWORD
Enabled Value1
Disabled Value0

chromeos.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)