Huzima Hifadhi ya Google kupitia miunganisho ya simu za mkononi katika programu ya Faili za Google Chrome OS

Huzima usawazishaji wa Hifadhi ya Google katika programu ya Faili ya Google Chrome OS inapotumia muunganisho wa simu ya mkononi inapowekwa kuwa Ndivyo. Kwa hivyo, data inasawazishwa tu kwenye Hifadhi ya Google inapounganishwa kupitia WiFi au Ethaneti.

Isipowekwa au ikiwekwa kuwa Sivyo, basi watumiaji wataweza kuhamisha faili hadi Hifadhi ya Google kupitia miunganisho ya simu za mkononi.

Supported on: SUPPORTED_WIN7

Registry HiveHKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\ChromeOS
Value NameDriveDisabledOverCellular
Value TypeREG_DWORD
Enabled Value1
Disabled Value0

chromeos.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)