Orodha ya viendelezi vya AppPack

Sera hii ni amilifu katika modi ya rejareja tu.

Inaorodhesha viendelezi ambavyo vinasakinishwa kiotomatiki kwa mtumiaji wa Onyesho, kwa vifaa katika modi ya rejareja. Viendelezi hivi vinahifadhiwa katika kifaa na vinaweza kusakinishwa nje ya mtandao, baada ya usakinishaji.

Kila ingizo la orodha lina kamusi ambayo ni lazima ijumuishe Kitambulisho cha kirefusho katika uga wa 'kitambulisho cha kirefusho', na URL sasishi yake katika uga wa 'url-sasishi'.

Supported on: SUPPORTED_WIN7

Orodha ya viendelezi vya AppPack

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE
Registry PathSoftware\Policies\Google\ChromeOS\DeviceAppPack
Value Name{number}
Value TypeREG_SZ
Default Value

chromeos.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)