Weka lugha zinazopendekezwa kwa vipindi vya umma

Huweka lugha moja au zaidi zilizopendekezwa kwa vipindi vya umma, hivyo kuwaruhusu watumiaji kuchagua kwa urahisi mojawapo ya lugha hizi.

Mtumiaji anaweza kuchagua lugha na mpangilio wa kibodi kabla ya kuanza kipindi cha umma. Kwa chaguo-msingi, lugha zote zinazotumika kwenye Google Chrome OS zimeorodheshwa kwa mpangilio wa alfabeti. Unaweza kutumia sera hii kuhamisha seti ya lugha zilizoorodheshwa hadi upande wa juu wa orodha.

Sera hii isipowekwa, kiolesura cha lugha ya sasa kitachaguliwa awali.

Sera hii ikiwekwa, lugha zilizopendekezwa zitahamishwa hadi upande wa juu wa orodha na itatenganishwa na lugha nyingine zote. Lugha zinazopendekezwa zitaorodheshwa katika mpangilio ambao zinaonekana katika sera. Lugha ya kwanza iliyopendekezwa itachaguliwa awali.

Ikiwa kuna lugha zaidi ya moja iliyopendekezwa, inachukuliwa kwamba watumiaji wangependa kuchagua kati ya lugha hizi. Uteuzi wa lugha na mpangilio wa kibodi utatolewa sana wakati wa kuanza kipindi cha umma. Vinginevyo, inachukuliwa kwamba watumiaji wengi wangependa kutumia lugha hizi zilizochaguliwa awali. Uteuzi wa lugha na mpangilio wa kibodi hautatolewa sana wakati wa kuanza kipindi cha umma.

Sera hii inapowekwa na kipengee cha kuingia katika akaunti kiotomatiki kuwashwa (angalia sera za |DeviceLocalAccountAutoLoginId| na |DeviceLocalAccountAutoLoginDelay|), kipindi cha umma kilichoanzishwa kiotomatiki kitatumia lugha ya kwanza iliyopendekezwa na mpangilio wa kibodi maarufu sana unaolingana na lugha hii.

Kila wakati, mpangilio wa kibodi uliochaguliwa awali utakuwa mpangilio maarufu unaolingana na lugha iliyochaguliwa awali.

Sera hii inaweza tu kuwekwa kama ilivyopendekezwa. Unaweza kutumia sera hii kuhamisha seti ya lugha zilizopendekezwa hadi upande wa juu lakini watumiaji wanaruhusiwa kuchagua lugha inayotumika kwenye Google Chrome OS kwa kipindi chao wakati wowote.

Supported on: SUPPORTED_WIN7

Weka lugha zinazopendekezwa kwa vipindi vya umma

Registry HiveHKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\ChromeOS\SessionLocales
Value Name{number}
Value TypeREG_SZ
Default Value

chromeos.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)