Google Chrome itakwepa seva mbadala yoyote ya orodha ya seva pangishi iliyotolewa hapa.
Sera hii itatekelezwa tu ikiwa umechagua mipangilio ya seva mbadala mwenyewe katika 'Chagua jinsi ya kubainisha mipangilio ya seva'.
Unapaswa kuacha sera hii kama haijawekwa ikiwa umechagua hali nyingine yoyote ya kuweka sera za seva mbadala.
Kwa mifano ya kina zaidi, tembelea:
https://www.chromium.org/developers/design-documents/network-settings#TOC-Command-line-options-for-proxy-sett
Registry Hive | HKEY_CURRENT_USER |
Registry Path | Software\Policies\Google\ChromeOS |
Value Name | ProxyBypassList |
Value Type | REG_SZ |
Default Value |