Huduma ya Kuvinjari Salama huonyesha ukurasa wa kuonya wakati watumiaji wanapovinjari tovuti ambazo zimetiwa alama kuwa hasidi. Kuwasha mipangilio hii kunawazuia watumiaji kuondoka kwenye ukurasa wa kuonya hadi kwenye tovuti hasidi.
Ikiwa mipangilio hii itazimwa au haitawekwa basi watumiaji wanaweza kuchagua kuendelea hadi kwenye tovuti iliyotiwa alama baada ya kuonyeshwa onyo.
Angalia https://developers.google.com/safe-browsing kwa maelezo zaidi kuhusu SafeBrowsing.
Registry Hive | HKEY_CURRENT_USER |
Registry Path | Software\Policies\Google\ChromeOS |
Value Name | DisableSafeBrowsingProceedAnyway |
Value Type | REG_DWORD |
Enabled Value | 1 |
Disabled Value | 0 |