Sheria za kuchagua printa chaguo-msingi

Hubatilisha sheria za kuchagua printa chaguo-msingi za Google Chrome.

Sera hii hubainisha sheria za kuchagua printa chaguo-msingi katika Google Chrome ambayo hufanyika mara ya kwanza chaguo la kukokotoa la kuchapisha linapotumiwa kwenye wasifu.

Sera hii ikiwekwa, Google Chrome itajaribu kutafuta printa inayolingana na vipengele vyote vilivyobainishwa, na iichague kuwa printa chaguo-msingi. Printa ya kwanza inayopatikana ambayo inalingana na sera huchaguliwa, iwapo hakuna kulingana kwa kipekee printa yoyote inayolingana inaweza kuchaguliwa, kutegemea mpangilio ambao printa zinagunduliwa.

Sera hii isipowekwa au printa inayolingana isipopatikana ndani ya muda uliowekwa, printa itabadilika kwa chaguo-msingi kuwa printa ya PDF iliyojengewa ndani au hakuna printa iliyochaguliwa, printa ya PDF isipopatikana.

Thamani inachanganuliwa kuwa kifaa cha JSON, inayozingatia utaratibu ufuatao:
{
"type": "object",
"properties": {
"kind": {
"description": "Iwe ni kuweka vikwazo vya matokeo ya utafutaji ya printa inayolingana kwa idadi mahususi ya printa.",
"type": {
"enum": [ "local", "cloud" ]
}
},
"idPattern": {
"description": "Kilinganishi kilingane na kitambulisho cha printa.",
"type": "string"
},
"namePattern": {
"description": "Kilinganishi kilingane na jina la printa inayoonekana.",
"type": "string"
}
}
}

Printa zilizounganishwa kwenye Google Cloud Print zinachukuliwa kuwa "cloud", printa nyingine zote zinafahamika kuwa "local".
Kuacha sehemu kunamaanisha kwamba thamani zote zinalingana, kwa mfano, kukosa kubainisha uunganishaji kutasababisha Onyesho la Kuchungulia kuanzisha ugunduzi wa printa za aina zote, za ndani na za wingu.
Lazima michoro ya Kilinganishi ifuate sintaksia ya JavaScript RegExp na kulingana kunafuata herufi kubwa au ndogo.

Supported on: SUPPORTED_WIN7

Sheria za kuchagua printa chaguo-msingi

Registry HiveHKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\ChromeOS
Value NameDefaultPrinterSelection
Value TypeREG_MULTI_SZ
Default Value

chromeos.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)