Toa idhini kwa programu za kuandika madokezo zinazoruhusiwa kwenye skrini iliyofungwa ya Google Chrome OS

Huzibainisha programu zinazoweza kuwashwa kuwa programu za kuandika madokezo kwenye skrini iliyofungwa ya Google Chrome OS.

Unapoitumia programu ya kuandika vidokezo unayoipendelea kwenye skrini iliyofungwa, kiolesura cha kufungua programu hiyo kitaonekana kwenye skrini iliyofungwa.
Unapoifungua programu hiyo, programu itaunda dirisha la programu sehemu ya juu ya skrini iliyofungwa na vipengee vya data (vidokezo) vitaundwa katika skrini iliyofungwa. Programu italeta vidokezo vilivyoundwa kwenye kipindi msingi cha mtumiaji, unapokifungua kipindi. Kwa sasa, unaweza tu kuzitumia programu za Chrome za kuandika vidokezo kwenye skrini iliyofungwa.

Ukiiweka sera, mtumiaji ataruhusiwa kuwasha programu kwenye skrini iliyofungwa iwapo tu Kitambulisho cha kiendelezi kiko kwenye orodha ya thamani ya sera.
Ukiiweka sera hii kwenye orodha tupu, kipengele cha kuandika vidokezo kwenye skrini iliyofungwa kitazimwa kabisa. Kumbuka kuwa sera iliyo na Kitambulisho cha programu haimaanishi kuwa mtumiaji anaweza kuwasha programu kuandika vidokezo kwenye skrini iliyofungwa - kwa mfano, kwenye Chrome 61, programu ambazo unaweza kuzitumia zimewekewa vikwazo na mfumo.

Usipoiweka sera, hamna vikwazo vitakavyowekwa kwenye seti ya programu ambazo mtumiaji anaweza kuwasha kwenye skrini iliyofungwa vilivyowekwa na sera.

Supported on: SUPPORTED_WIN7

Toa idhini kwa programu za kuandika madokezo zinazoruhusiwa kwenye skrini iliyofungwa ya Google Chrome OS

Registry HiveHKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\ChromeOS\NoteTakingAppsLockScreenWhitelist
Value Name{number}
Value TypeREG_SZ
Default Value

chromeos.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)