Washa kipengele cha ARC

Sera hii ikiwekwa kuwa ndivyo, kipengee cha ARC kitawashiwa mtumiaji
(kutegemea kanuni za mipangilio ya ziada ya sera - kipengee cha ARC bado hakitapatikana ikiwa kipindi cha matumizi ya muda au kipengee cha kuingia katika akaunti nyingi kitawashwa katika kipindi cha sasa cha mtumiaji).

Mipangilio hii ikizimwa au isiposanidiwa, basi watumiaji wa biashara
hawawezi kutumia kipengee cha ARC.

Supported on: SUPPORTED_WIN7

Registry HiveHKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\ChromeOS
Value NameArcEnabled
Value TypeREG_DWORD
Enabled Value1
Disabled Value0

chromeos.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)