Inaruhusu huduma ya pamoja ya Tafsiri Google kwenye Google Chrome.
Ukiwezesha mpangilio huu, Google Chrome itaonyesha upauzana wa pamoja unaojitolea kutafsiri ukurasa kwa mtumiaji, inapohitajika.
Ukilemaza mpangilio huu, watumiaji hawataona tena upau wa utafsiri.
Ukiwezesha mpangilio huu, watumiaji hawawezi kubadilisha au kufuta mpangilio kwenye Google Chrome.
Ikiwa mpangilio huu utasalia kama haujawekwa mtumiaji anaweza kuamua kutumia au kutotumia kitendaji hiki.
Registry Hive | HKEY_CURRENT_USER |
Registry Path | Software\Policies\Google\ChromeOS |
Value Name | TranslateEnabled |
Value Type | REG_DWORD |
Enabled Value | 1 |
Disabled Value | 0 |