Hubainisha URL ya mtambo wa kutafuta inayotumiwa kutoa matokeo ya papo hapo. URL inapaswa kuwa na mfuatano wa '{searchTerms}', ambao nafasi yake itachukuliwa wakati wa kuandika hoja ya maandishi ambayo mtumiaji atakuwa ameweka.
Sera hii ni ya hiari. Ikiwa haijawekwa, hakuna matokeo ya utafutaji ya papo hapo yatakayotolewa.
URL ya matokeo papo hapo ya Google inaweza kubainishwa kuwa: '{google:baseURL}suggest?q={searchTerms}'.
Sera hii inazingatiwa tu ikiwa sera ya 'DefaultSearchProviderEnabled' imewashwa.
Registry Hive | HKEY_CURRENT_USER |
Registry Path | Software\Policies\Google\ChromeOS |
Value Name | DefaultSearchProviderInstantURL |
Value Type | REG_SZ |
Default Value |