Weka hali chaguo-msingi ya hali ya juu ya utofautishaji kwenye skrini ya kuingia katika akaunti

Weka hali chaguo msingi ya kipengee cha ufikiaji cha utofautishaji wa juu kwenye skrini ya kuingia katika akaunti.
Iwapo sera hii imewekwa kuwa kweli, hali ya juu ya utofautishaji itawashwa wakati skrini ya kuingia katika akaunti itakapoonyeshwa.
Iwapo sera hii imewekwa kwa haitumiki, hali ya juu ya utofautishaji itazimwa wakati skrini ya kuingia katika akaunti itakapoonyeshwa.
Iwapo utaweka sera hii, watumiaji wanaweza kwa muda kuipuuza kwa kuwasha au kuzima hali ya juu ya utofautishaji. Hata hivyo, chaguo la mtumiaji halitaendelea na chaguo-msingi hurejeshwa tena wakati wowote skrini ya kuingia katika akaunto inapoonyeshwa upya au mtumiaji anaposalia bila kufanya kitu kwenye skrini ya kuingia katika akaunti kwa dakika moja.
Iwapo sera hii haijawekwa, hali ya juu ya utoafautishaji huzimwa wakati skrini ya kuingia katika akaunti inapoonyeshwa kwanza. Watumiaji wanaweza kuwasha au kuzima hali ya juu ya utofautishaji wakati wowote na hali yake kwenye skrini ya kuingia katika akaunti inaendelea kati ya watumiaji.

Supported on: SUPPORTED_WIN7

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE
Registry PathSoftware\Policies\Google\ChromeOS
Value NameDeviceLoginScreenDefaultHighContrastEnabled
Value TypeREG_DWORD
Enabled Value1
Disabled Value0

chromeos.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)