Kutokana na sababu kwamba ukaguzi wa ubatilishaji wa mtandaoni unaoshindwa chinichini hautoi usalama bora unaofanya kazi, unazimwa kwa chaguo-msingi katika toleo la 19 la Google Chrome na matoleo mapya zaidi. Kwa kuweka sera hii kuwa ndivyo, tabia ya awali inarejeshwa na ukaguzi wa mtandaoni wa OCSP/CRL utatekelezwa.
Ikiwa sera hii haitawekwa, au ikiwekwa kuwa sivyo, basi Google Chrome haitatekeleza ukaguzi wa ubatilishaji wa mtandaoni katika Google Chrome 19 na matoleo mapya zaidi.
Registry Hive | HKEY_CURRENT_USER |
Registry Path | Software\Policies\Google\ChromeOS |
Value Name | EnableOnlineRevocationChecks |
Value Type | REG_DWORD |
Enabled Value | 1 |
Disabled Value | 0 |