Enables users to set weak PINs for the lock screen PIN

Ikiwa sivyo, watumiaji hawataweza kuweka PIN ambazo ni dhaifu na rahisi kuzitambua.

Mifano ya PIN dhaifu: PIN zilizo na tarakimu moja tu (1111), PIN ambazo tarakimu zake zinaongezeka kwa 1 (1234), PIN ambazo tarakimu zake zinapungua kwa 1 (4321), na PIN zinazotumika kwa kawaida.

Kwa chaguo-msingi, watumiaji watapokea onyo, si arifa ya hitilafu, ikiwa PIN itatambulika kuwa dhaifu.

Supported on: SUPPORTED_WIN7

Registry HiveHKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\ChromeOS
Value NamePinUnlockWeakPinsAllowed
Value TypeREG_DWORD
Enabled Value1
Disabled Value0

chromeos.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)