Dhibiti tabia ya mtumiaji katika kipindi cha wasifu nyingi

Dhibiti tabia ya mtumiaji katika kipindi cha multiprofile kwenye vifaa vya Google Chrome OS.

Ikiwa sera hii itawekwa kuwa 'MultiProfileUserBehaviorUnrestricted', mtumiaji anaweza kuwa wa kwanza au wa pili katika kipindi cha multiprofile.

Ikiwa sera hii itawekwa kuwa 'MultiProfileUserBehaviorMustBePrimary', mtumiaji anaweza kuwa wa kwanza pekee katika kipindi cha multiprofile.

Ikiwa sera hii itawekwa kuwa 'MultiProfileUserBehaviorNotAllowed', mtumiaji hawezi kushiriki kipindi cha multiprofile.

Ukiweka mpangilio huu, watumiaji hawawezi kuubadilisha au kuufuta.

Ikiwa mpangilio utabadilishwa mtumiaji akiwa ameingia katika kipindi cha multiprofile, watumiaji wote katika kipindi watateuliwa dhidi ya mipangilio yao sambamba. Kipindi kitafungwa ikiwa yeyote kati ya watumiaji haruhusiwi kuwa katika kipindi.

Ikiwa sera itaachwa bila kuwekwa, thamani ya chaguo-msingi 'MultiProfileUserBehaviorMustBePrimary' inatumika kwa watumiaji wanaosimamiwa kibiashara na 'MultiProfileUserBehaviorUnrestricted' itatumiwa kwa watumiaji wasiosimamiwa.

Supported on: SUPPORTED_WIN7

Dhibiti tabia ya mtumiaji katika kipindi cha wasifu nyingi


 1. Ruhusu mtumiaji wa biashara kuwa wa kwanza na wa pili (Tabia ya chaguo-msingi kwa watumiaji wasiosimamiwa)
  Registry HiveHKEY_CURRENT_USER
  Registry PathSoftware\Policies\Google\ChromeOS
  Value NameChromeOsMultiProfileUserBehavior
  Value TypeREG_SZ
  Valueunrestricted
 2. Ruhusu mtumiaji wa biashara kuwa mtumiaji wa kwanza wa multiprofile pekee (Tabia ya chaguo-msingi kwa watumiaji wanaosimamiwa kibiashara)
  Registry HiveHKEY_CURRENT_USER
  Registry PathSoftware\Policies\Google\ChromeOS
  Value NameChromeOsMultiProfileUserBehavior
  Value TypeREG_SZ
  Valueprimary-only
 3. Usiruhusu mtumiaji wa biashara kuwa sehemu ya wasifu nyingi (ya msingi au ya pili)
  Registry HiveHKEY_CURRENT_USER
  Registry PathSoftware\Policies\Google\ChromeOS
  Value NameChromeOsMultiProfileUserBehavior
  Value TypeREG_SZ
  Valuenot-allowed


chromeos.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)