Hubainisha URL ya mtambo wa kutafuta inayotumika unapofanya utafutaji chaguo-msingi. URL inapaswa kuwa na mfuatano wa '{searchTerms}', ambao nafasi yake inachukuliwa wakati wa kuandika hoja ya maneno ambayo mtumiaji anatafuta.
URL ya utafutaji wa Google inaweza kubanishwa kuwa: '{google:baseURL}search?q={searchTerms}&{google:RLZ}{google:originalQueryForSuggestion}{google:assistedQueryStats}{google:searchFieldtrialParameter}{google:searchClient}{google:sourceId}{google:instantExtendedEnabledParameter}ie={inputEncoding}'.
Lazima chaguo hili liwekwe wakati sera ya 'DefaultSearchProviderEnabled' imewashwa na itazingatiwa tu hali hii ikitimizwa.
Registry Hive | HKEY_CURRENT_USER |
Registry Path | Software\Policies\Google\ChromeOS\Recommended |
Value Name | DefaultSearchProviderSearchURL |
Value Type | REG_SZ |
Default Value |