Orodha iliyoidhinishwa ambayo inadhibiti aina za ufunguaji wa haraka ambazo mtumiaji anaweza kuweka na kuitumia kufungua skrini iliyofungwa.
Thamani hii ni orodha ya mifuatano; maingizo ya orodha sahihi ni: "all", "PIN". Kuongeza "all" katika orodha humaanisha kila aina inayofungua haraka hupatikana kwa mtumiaji, ikijumuisha zitakazotekelezwa siku zijazo. Ikiwa sivyo, aina zinazofungua haraka zilizo katika orodha ndizo zitapatikana pekee.
Kwa mfano, ili kuruhusu kila aina inayofungua haraka, tumia ["all"]. Ili kuruhusu kufungua kwa kutumia PIN pekee, tumia, ["PIN"]. Ili kuzima aina zote za kufungua haraka, tumia [].
Kwa chaguo-msingi, hakuna aina za kufungua haraka zinazopatikana kwenye vifaa vinavyosimamiwa.
Registry Hive | HKEY_CURRENT_USER |
Registry Path | Software\Policies\Google\ChromeOS\QuickUnlockModeWhitelist |
Value Name | {number} |
Value Type | REG_SZ |
Default Value |