Weka hali chaguo-msingi ya kibodi ya skrini kwenye skrini ya kuingia katika akaunti

Weka hali chaguo-msingi ya kipengele cha ufikiaji cha kibodi ya skrini kwenye skrini ya kuingia katika akaunti.

Sera hii ikiwekwa kuwa ndivyo, kibodi ya skrini itawashwa wakati skrini ya kuingia katika akaunti inaonyeshwa.

Sera hii ikiwekwa kuwa sivyo, kibodi ya skrini itazimwa wakati skrini ya kuingia katika akaunti inaonyeshwa.

Ukiweka sera hii, watumiaji wanaweza kuibatilisha kwa muda kwa kuwasha au kuzima kibodi ya skrini. Hata hivyo, chaguo la watumiaji halidumu na chaguo-msingi hurejeshwa kila wakati skrini ya kuingia katika akaunti inapoonyeshwa upya au mtumiaji anapokuwa hafanyi kitu kwenye skrini ya kuingia katika akaunti kwa dakika moja.

Sera hii isipowekwa, kibodi ya skrini inawashwa skrini ya kuingia katika akaunti inapoonyeshwa mara ya kwanza. Watumiaji wanaweza wakazima au kuwasha kibodi ya skrini wakati wowote na hali yake kwenye skrini ya kuingia katika akaunti inadumu kati ya watumiaji.

Supported on: SUPPORTED_WIN7

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE
Registry PathSoftware\Policies\Google\ChromeOS
Value NameDeviceLoginScreenDefaultVirtualKeyboardEnabled
Value TypeREG_DWORD
Enabled Value1
Disabled Value0

chromeos.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)