Sera hii inapowekwa kuwa ndivyo, data ya programu ya Android inapakiwa kwenye seva za Android Backup na kurejeshwa kutoka kwenye seva hizo baada ya kusakinisha upya programu kwa programu zinazooana.
Sera hii ikiwekwa kuwa sivyo, kipengee cha Android Backup Service kitazimwa.
Sera hii ikiwekwa mipangilio basi watumiaji hawataweza kuibadilisha wenyewe.
Sera hii isipowekwa mipangilio basi watumiaji wataweza kuwasha na kuzima kipengele cha Android Backup Service na programu ya Mipangilio ya Android.
Registry Hive | HKEY_CURRENT_USER |
Registry Path | Software\Policies\Google\ChromeOS |
Value Name | ArcBackupRestoreEnabled |
Value Type | REG_DWORD |
Enabled Value | 1 |
Disabled Value | 0 |