Sasisha kiotomatiki kipengee cha kutawanya

Inabainisha idadi ya sekunde ambazo kifaa kinaweza kuamua kuchelewesha upakuaji wake wa sasisho kutoka wakati ambapo usasishaji ulisukumwa kwanza nje katika seva. Kifaa kinaweza kusubiri kijisehemu cha muda huu kwa hali ya muda wa saa na kijisehemu kinachosalia katika hali ya idadi ya ukaguzi wa visasisho. Katika hali yoyote, utawanyishaji umekitwa katika kiwango cha kudumu cha muda ili kifaa kisikwame tena kikisubiri kupakua sasisho kwa muda mrefu.

Supported on: SUPPORTED_WIN7

Sasisha kiotomatiki kipengee cha kutawanya:

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE
Registry PathSoftware\Policies\Google\ChromeOS
Value NameDeviceUpdateScatterFactor
Value TypeREG_DWORD
Default Value
Min Value0
Max Value2000000000

chromeos.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)