Toleo Lengwa la Kusasisha Otomatiki

Huweka toleo lengwa la Masasisho ya Kiotomatiki.

Hubainisha kiambishi awali cha toleo lengwa ambalo Google Chrome OS inatakiwa kusasishwa. Ikiwa kifaa hiki kinatumia toleo la kiambishi awali kilichobainishwa, kitasasisha kwenye toleo la sasa lenye kiambishi hicho. Ikiwa tayari kifaa kina toleo lake jipya, hakuna athari yoyote (yaani hakuna viwango vitakavyoshushwa) na kifaa kitasalia katika toleo la sasa. Muundo wa kiambishi hufanya kazi kulingana na sehemu kama inavyoonyeshwa katika mifano inayofuata:

"" (au haijawekwa mipangilio): weka toleo jipya linalopatikana.
"1412.": weka toleo lolote dogo jipya la 1412 (k.m. 1412.24.34 au 1412.60.2)
"1412.2.": weka toleo lolote dogo jipya la 1412.2 (k.m. 1412.2.34 au 1412.2.2)
"1412.24.34": weka toleo hili mahususi pekee

Onyo: Unashauriwa kuweka mipangilio ya vizuizi vya toleo kwa sababu inaweza kuzuia watumiaji wasipokee masasisho ya programu na marekebisho muhimu ya usalama. Kuweka vizuizi kwenye masasisho kuwa toleo la kiambishi awali cha toleo mahususi kunaweza kuweka watumiaji katika hatari.

Supported on: SUPPORTED_WIN7

Toleo Lengwa la Kusasisha Otomatiki

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE
Registry PathSoftware\Policies\Google\ChromeOS
Value NameDeviceTargetVersionPrefix
Value TypeREG_SZ
Default Value

chromeos.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)