Washa au zima uthibitishaji usiotumia PIN kwa seva pangishi za uwezo wa kufikia kwa mbali

Mpangilio huu ukiwashwa au usiposanidiwa, basi watumiaji wanaweza kuchagua kuoanisha viteja na mpangishi wakati wa kuunganisha, hivyo kuondoa haja ya kuingiza PIN kila wakati.

Mpangilio huu ukizimwa, basi kipengele hiki hakitapatikana.

Supported on: SUPPORTED_WIN7

Registry HiveHKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\ChromeOS
Value NameRemoteAccessHostAllowClientPairing
Value TypeREG_DWORD
Enabled Value1
Disabled Value0

chromeos.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)