Weka hali chaguo-msingi ya kiteuzi kikubwa kwenye skrini ya kuingia katika akaunti

Weka hali chaguo-msingi ya kipengele cha upatikanaji wa kiteuzi kikubwa kwenye skrini ya kuingia katika akaunti.

Kama sera hii itawekwa kuwa kweli, kiteuzi kikubwa kitawashwa wakati skrini ya kuingia katika akaunti itakapoonyeshwa.

Kama sera hii ni itawekwa kuwa uongo, kiteuzi kikubwa kitazimwa wakati skrini ya kuingia katika akaunti itakapoonyeshwa.

Kama utaweka sera hii, watumiaji wanaweza kuipuuza kwa muda kwa kuwasha au kuzima kiteuzi kikubwa. Hata hivyo, chaguo la mtumiaji halitaendelea na chaguo-msingi litarejeshwa tena wakati wowote skrini ya kuingia katika skrini itakapoonyeshwa upya au mtumiaji atakaposalia bila kufanya kitu kwenye skrini ya kuingia katika akaunti kwa dakika moja.

Kama sera hii haijawekwa, kiteuzi kikubwa huzimwa wakati skrini ya kuingia katika akaunti itakapoonyeshwa kwanza. Watumiaji wanaweza kuwasha au kuzima kiteuzi kikubwa wakati wowote na hali yake kwenye skrini ya kuingia katika akaunti inaendelea kati ya watumiaji.

Supported on: SUPPORTED_WIN7

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE
Registry PathSoftware\Policies\Google\ChromeOS
Value NameDeviceLoginScreenDefaultLargeCursorEnabled
Value TypeREG_DWORD
Enabled Value1
Disabled Value0

chromeos.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)