Lugha ya skrini ya kuingia katika kifaa

Huweka mipangilio ya lugha ambayo inatekelezwa kwenye skrini ya kuingia katika kifaa ya Google Chrome OS.

Sera hii ikiwekwa, skrini ya kuingia katika kifaa itaonyeshwa kila mara kwa lugha iliyowekwa katika thamani ya kwanza (sera imebainishwa kuwa orodha ya uoanifu wa kusambaza). Sera hii isipowekwa au ikiwekwa kwenye orodha tupu, skrini ya kuingia katika kifaa itaonyeshwa kwa lugha ya kipindi cha mtumiaji wa mwisho. Sura hii ikiwekwa kuwa thamani ambayo si lugha sahihi, skrini ya kuingia katika kifaa itaonyeshwa kwa lugha chaguo-msingi (ambayo kwa sasa ni Kiingereza cha Marekani).

Supported on: SUPPORTED_WIN7

Lugha ya skrini ya kuingia katika kifaa

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE
Registry PathSoftware\Policies\Google\ChromeOS\DeviceLoginScreenLocales
Value Name{number}
Value TypeREG_SZ
Default Value

chromeos.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)