Asilimia ya kupima kuchelewesha kwa mwanga wa skrini katika modi ya wasilisho

Hubainisha asilimia ambayo kuchelewa kwa mwangaza wa skrini huongezwa wakati kifaa kiko katika hali ya wasilisho.

Kama sera hii itawekwa, inabainisha asilimia ambayo kuchelewa kwa mwangaza wa skrini kutaongezwa wakati kifaa kiko katika hali ya wasilisho.
Kuchelewa kwa mwangaza wa skrini kunapopimwa, kuzimwa kwa skrini, kufungua kwa skrini na kucheleweshwa kwa kutofanya kitu hurekebishwa ili kudumisha umbali sawa kutoka kwa kucheleweshwa kwa mwangaza wa skrini kama kulivyosanidiwa awali.

Kama sera hii haijawekwa, mfumo wa kipimo cha msingi kitatumika.
Mfumo wa kipimo lazima uwe 100% au zaidi. Thamani zitakazofupisha kuchelewa kwa mwangaza wa skrini katika hali ya wasilisho kuliko kuchelewa kwa mwangaza wa skrini ya kawaida hazitaruhusiwa.

Supported on: SUPPORTED_WIN7

Asilimia ya kupima kuchelewesha kwa mwanga wa skrini katika modi ya wasilisho:

Registry HiveHKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\ChromeOS
Value NamePresentationScreenDimDelayScale
Value TypeREG_DWORD
Default Value
Min Value0
Max Value2000000000

chromeos.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)