Washa kipengee cha upatikanaji cha hali ya juu ya utofutishaji.
Kama sera hii imewekwa kuwa kweli, hali ya juu ya utofautishaji itawashwa kila wakati.
Kama sera hii imewekwa kuwa haitumiki, hali ya juu ya utofautishaji itazimwa kila wakati.
Kama sera hii imewekwa, watumiaji hawawezi kuibadilisha au kuipuuza.
Kama sera hii haitawekwa, hali ya juu ya utofautishaji itazimwa mwanzoni lakini inaweza kuwashwa na mtumiaji wakati wowote.
Registry Hive | HKEY_CURRENT_USER |
Registry Path | Software\Policies\Google\ChromeOS\Recommended |
Value Name | HighContrastEnabled |
Value Type | REG_DWORD |
Enabled Value | 1 |
Disabled Value | 0 |