Dhibiti kujificha kitomatiki kwa rafu

Dhibiti kujificha kiotomatiki kwa rafu ya Google Chrome OS.

Iwapo sera hii itawekwa kuwa 'IjificheYenyeweKilaWakati', rafu itajificha kiotomatiki kila wakati.

Iwapo sera hii itawekwa kuwa 'IsiwahiKujifichaYenyewe', rafu haitawahi kujificha kiotomatiki.

Ukiweka sera hii, watumiaji hawawezi kuibadilisha au kuifuta.

Iwapo sera itaachwa bila kuwekwa, watumiaji wanaweza kuamua iwapo rafu itajificha kiotomatiki.

Supported on: SUPPORTED_WIN7

Dhibiti kujificha kitomatiki kwa rafu


  1. Ficha rafu otomatiki kila wakati
    Registry HiveHKEY_CURRENT_USER
    Registry PathSoftware\Policies\Google\ChromeOS\Recommended
    Value NameShelfAutoHideBehavior
    Value TypeREG_SZ
    ValueAlways
  2. Usiwahi kuficha rafu kiotomatiki
    Registry HiveHKEY_CURRENT_USER
    Registry PathSoftware\Policies\Google\ChromeOS\Recommended
    Value NameShelfAutoHideBehavior
    Value TypeREG_SZ
    ValueNever


chromeos.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)