Bainisha orodha ya programu jalizi zilizowezeshwa

Inabainisha orodha ya programu jalizi ambazo zinalemazwa katika Google Chrome na huzuia watumiaji kubadilisha mpangilio huu.

Vibambo vya kadi egemezi '*' na '?' vinaweza kutumiwa kulinganisha misururu ya vibambo vibadala. '*' inalinganisha vibambo kadhaa vibadala huku '?' ikibainisha kibambo kimoja cha chaguo, yaani inalinganisha sufuri au kibambo kimoja. Kibambo cha kutoka ni '\', kwa hivyo ili kulinganisha '*', '?', halisi au vibambo '\', unaweza kuweka '\' mbele yavyo.

Orodha ya programu jalizi iliyobainishwa inatumiwa mara kwa mara katika Google Chrome ikiwa zimesakinishwa. Programu jalizi zinatiwa alama kama zilizowezeshwa katika 'kuhusu:programu jalizi' na watumiaji hawawezi kuzilemaza.

Fahamu kuwa sera hii inafuta DisabledPlugins na DisabledPluginsExceptions.

Ikiwa sera hii itaachwa bila kuwekwa mtumiaji anaweza kuilemaza programu yoyote iliyosakinishwa kwenye mfumo huu.

Supported on: SUPPORTED_WIN7

Orodha ya programu jalizi zilizowezeshwa

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome\EnabledPlugins
Value Name{number}
Value TypeREG_SZ
Default Value

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)