Ikiwa mipangilio ya kriptografia ya DHE katika TLS imewashwa

Onyo: DHE itaondolewa kabisa kwenye Google Chrome baada ya toleo la 57 (kufikia Machi 2017) na sera hii itaacha kufanya kazi wakati huo.

Sera hii isipowekwa, au ikiwekwa kuwa sivyo, basi mipangilio ya kriptografia ya DHE katika TLS haitawashwa. La sivyo, inaweza kuwekwa kuwa ndivyo ili kuwasha mipangilio ya kriptografia ya DHE na kudumisha uoanifu na seva iliyokwisha muda. Huu ni mkakati wa muda tu na seva inapaswa kuwekwa mipangilio upya.

Seva zinahimizwa kuhamia kwenye mipangilio ya kriptografia ya ECDHE. Ikiwa mipangilio hii haipatikani, hakikisha kuwa mipangilio ya kriptografia inayotumia ubadilishanaji wa kitufe cha RSA imewashwa.

Supported on: SUPPORTED_WIN7

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
Value NameDHEEnabled
Value TypeREG_DWORD
Enabled Value1
Disabled Value0

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)