Sera hii huwasha HTTP/0.9 kwenye milango mbali na 80 ya HTTP na 443 ya HTTPS.
Sera huzimwa kwa chaguo-msingi, na ikiwashwa, huwaacha watumiaji katika hali ambayo wanaweza kupata matatizo ya usalama https://crbug.com/600352.
Sera hii inadhamiria kuwapa wafanyabiashara nafasi ya kuhamisha seva za sasa kutoka HTTP/0.9, na itaondolewa siku zijazo.
Sera hii isipowekwa, HTTP/0.9 itazimwa kwenye milango ambayo si chaguo-msingi.
Registry Hive | HKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER |
Registry Path | Software\Policies\Google\Chrome |
Value Name | Http09OnNonDefaultPortsEnabled |
Value Type | REG_DWORD |
Enabled Value | 1 |
Disabled Value | 0 |