Weka ukubwa wa akiba ya diski katika baiti

Husanidi ukubwa wa akiba ambao Google Chrome itatumia kwa ajili ya kuhifadhi faili zilizoakibishwa kwenye diski.

Ukiweka sera hii, Google Chrome itatumia ukubwa wa akiba uliotolewa bila kujali kama mtumiaji amebainisha alama ya '- ukubwa wa-diski ya-kuakibisha' au la. Thamani iliyobainishwa katika sera hii sio kikomo kisichoweza kurekebishwa bali ni pendekezo la mfumo wa kuakibisha, thamani yoyote chini ya megabaiti chache ni ndogo mno na itazidishwa hadi kiwango cha chini kinachokubalika.

Iwapo thamani ya sera hii ni 0, ukubwa chaguo-msingi wa akiba utatumika lakini mtumiaji hataweza kuibadilisha.

Iwapo sera hii haijawekwa ukubwa chaguo-msingi utatumika na mtumiaji ataweza kubatilisha na alama ya - ukubwa wa-diski ya-akiba.

Supported on: SUPPORTED_WIN7

Weka ukubwa wa akiba ya diski:

Registry HiveHKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER
Registry PathSoftware\Policies\Google\Chrome
Value NameDiskCacheSize
Value TypeREG_DWORD
Default Value
Min Value0
Max Value2000000000

chrome.admx

Administrative Templates (Computers)

Administrative Templates (Users)