Hubainisha upeo wa ucheleweshaji katika milisekunde kati ya wakati wa kupokea uthibitishaji wa sera na uletaji wa sera mpya kutoka kwenye huduma ya usimamizi wa kifaa.
Kuweka sera hii kunapuuzia thamani chaguo-msingi ya milisekunde 5000. Thamani halali za sera hii ziko kati ya 1000 (sekunde 1) na 300000 (dakika 5 min). Thamani zozote zisizo katika mfululizo huu zitaunganishwa kwenye mpaka husika.
Kuacha sera hii bila kuiweka kutafanya Google Chrome itumie thamani chaguo-msingi ya milisekunde 5000.
Registry Hive | HKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER |
Registry Path | Software\Policies\Google\Chrome |
Value Name | MaxInvalidationFetchDelay |
Value Type | REG_DWORD |
Default Value | |
Min Value | 1000 |
Max Value | 300000 |